WAFANYAKAZI WA MKULAZI WASHIRIKI SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI MKOANI MOROGORO
Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi wameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo Kimkoa yalifanyika katika Uwanja wa Jamhuri uliopo Mkoani Morogoro Mei 1, 2025.