info@mkulazi.co.tz +255 232 93 5278 +255 232 93 5278

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni Hodhi ya Mkulazi Dkt. Hildelitha Msita akiongozana na Wakurugenzi wa Bodi hiyo wametembelea Shamba la Miwa Mbigiri na Kiwanda cha Sukari Mkulazi kukagua maendeleo ya Kiwanda hicho Januari 20, 2025.

BODI YA  MKULAZI YAKAGUA MAENDELEO YA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI