info@mkulazi.co.tz +255 232 93 5278 +255 232 93 5278

Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii( NSSF) ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi hiyo Bi. Mwamini Malemi wameridhishwa na maendeleo ya Kiwanda cha Sukari Mkulazi ambacho kinatekelezwa kwa ubia kati ya NSSF na Shirika la Uzalishaji Mali la Jeshi la Magereza(SHIMA) wakati wa ziara ya Bodi hiyo Mei 13,2025.

BODI YA WADHAMINI YA NSSF YARIDISHWA NA UWEKEZAJI  WA KIWANDA CHA SUKARI MKULAZI