info@mkulazi.co.tz +255 232 93 5278 +255 232 93 5278

Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari Mkulazi wameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo Kimkoa yalifanyika katika Uwanja wa Jamhuri uliopo Mkoani Morogoro Mei 1, 2025.

WAFANYAKAZI WA MKULAZI WASHIRIKI  SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI  MKOANI MOROGORO