Safari ya Tija na Ubunifu katika Kilimo-Viwanda.
Shughuli kuu ya kampuni ni kuzalisha sukari bora na mazao mengine yanayotokana nayo kama vile bio-ethanol, particle boards na pulp.
MHCL inatekeleza mradi wa sukari katika Shamba la Mbigiri wilayani Kilosa, mkoa wa Morogoro, ikiwa na lengo la kuzalisha tani 50,000 za sukari kwa mwaka mara itakapofikia uwezo kamili wa uendeshaji.