- Kuondoa matope (mud scrapping) kutoka kwenye Vacuum Filter;
- Kusafisha conveyor ya kubeba matope (mud belt conveyor);
- Kuandaa maziwa ya chokaa (milk of lime);
- Kufungua na kufunga hopper ya mud bin wakati wa kupakia matope kwenye trekta la matope (mud tractor);
- Kukagua louvers za bagacillo;
- Kudumisha usafi, usalama na afya mahali pa kazi; na
- Kutekeleza majukumu mengine yoyote halali atakayopangiwa na msimamizi wake.
Muhtasari wa nafasi
Mahitaji
Awe na Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV Certificate) au NTA Level II. Awe na uzoefu wa kazi usiopungua miaka mitatu (3) katika shughuli za uendeshaji wa Vacuum Filter.