Maombi yote ya kazi lazima yawasilishwe kupitia portal
Usitumie barua pepe kutuma maombi ya kazi. Fungua akaunti au ingia kwenye Applicant Portal, kisha ujaze ombi lako kupitia mfumo rasmi wa ajira wa kampuni.
Ajira
Chunguza nafasi za kazi zilizopo na jiunge na timu inayounda mustakabali wa mnyororo wa thamani wa sukari nchini Tanzania.
Usitumie barua pepe kutuma maombi ya kazi. Fungua akaunti au ingia kwenye Applicant Portal, kisha ujaze ombi lako kupitia mfumo rasmi wa ajira wa kampuni.
Inaonyesha 1-10 kati ya nafasi 22
Muda Wote
Kuongoza na kusaidia utekelezaji wa mipango ya maboresho endelevu katika mistari yote ya uzalishaji;Kubaini uzembe, upotevu wa rasilimali na fursa za kupunguza gharama za uendeshaji;Kukusanya na kuchambua takwimu …
Muda Wote
Kuendesha na kufuatilia michakato ya uzalishaji kupitia mfumo wa Distributed Control System (DCS) au SCADA kutoka chumba cha udhibiti (Control Room);Kuhakikisha uendeshaji bora wa vifaa vya kiwanda na …
Muda Wote
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara, matengenezo na ukarabati wa vifaa na mifumo ya umeme katika kiwanda na maeneo ya shughuli za kilimo;Kusaidia katika uendeshaji na ufuatiliaji wa …
Muda Wote
Kupima, kukata, kupinda, kuunda na kuunganisha vifaa vya metali kulingana na mahitaji ya kazi husika;Kusoma na kutafsiri michoro ya kiufundi (technical drawings), blueprints na maelekezo ya fabrication ili …
Muda Wote
Kufanya ukaguzi wa mara kwa mara na matengenezo ya kinga (preventive maintenance) ya mifumo na vifaa vya mitambo;Kufanya kazi za kufunga, kuunganisha, kusakinisha na kupanga kwa usahihi (alignment) …
Muda Wote
Kufunga, kuunganisha, kupanga kwa usahihi (align) na kufanya fitting ya vifaa vya mitambo, mashine na sehemu zake;Kuandaa vipuri kwa ajili ya shughuli zilizopangwa;Kubadilisha sehemu za mashine zilizochakaa au …
Muda Wote
Kufunga, kupima na kufanya matengenezo ya vifaa vya kupimia na kudhibiti michakato (field instruments) ikiwemo pressure transmitters, flow meters, temperature sensors na level indicators katika maeneo ya uzalishaji …
Muda Wote
Kukusanya na kuandaa sampuli kwa ajili ya uchambuzi wa maabara kutoka maeneo mbalimbali ya mchakato wa uzalishaji, mifumo ya maji na vituo vya kutibu majitaka;Kusaidia kufuatilia ubora wa …
Muda Wote
Kuendesha mashine za karakana kama vile lathe, milling, drilling na shaping machine kwa ajili ya kutengeneza vipuri na sehemu za mitambo kwa usahihi wa hali ya juu;Kuandaa mashine …
Muda Wote
Kupanga, kuratibu na kudhibiti shughuli za matengenezo ya mitambo katika kiwanda cha sukari ili kuhakikisha ufanisi wa shughuli za uzalishaji;Kuongoza shughuli za matengenezo na ukarabati wa boiler, vifaa …