Maombi yote ya kazi lazima yawasilishwe kupitia portal
Usitumie barua pepe kutuma maombi ya kazi. Fungua akaunti au ingia kwenye Applicant Portal, kisha ujaze ombi lako kupitia mfumo rasmi wa ajira wa kampuni.
Ajira
Chunguza nafasi za kazi zilizopo na jiunge na timu inayounda mustakabali wa mnyororo wa thamani wa sukari nchini Tanzania.
Usitumie barua pepe kutuma maombi ya kazi. Fungua akaunti au ingia kwenye Applicant Portal, kisha ujaze ombi lako kupitia mfumo rasmi wa ajira wa kampuni.
Inaonyesha 21-22 kati ya nafasi 22
Muda Wote
Kuandaa michoro ya CAD ya 2D na 3D kwa ajili ya mashine, vifaa na mipangilio ya kiwanda;Kuandaa michoro ya fabrication na assembly yenye vipimo sahihi;Kushirikiana kwa karibu na …
Muda Wote
Kuandaa na kutekeleza ratiba za matengenezo ya vifaa na miundombinu;Kuweka vipaumbele vya kazi kulingana na uharaka wake, mzigo wa kazi na rasilimali zilizopo;Kushirikiana kwa karibu na mafundi wa …